Taasisi ya elimu Tanzania (TET) imetangaza kupunguza idadi ya masomo kwa wanafunzi wa shule za msingi kutoka masomo kumi na moja hadi masomo nane kwa wanafunzi wa darasa la tatu hadi sita.kuanzia mwaka huu na kufuta Darasa la Saba.
Somo la hesabati na masomo ya lugha,Kiswahili na kiingeleza hayatafutwa aidha Taasisi hiyo imepanga utaratibu mpya wa kufuatilia mtaala wa masomo katika shule za msingi.
Kwa mujibu wa Tafiti zilizofanyika hapa nchini zimeonyesha kuwa wanafumnzi wengi wanaomaliza elimu ya msingi hawajui kusoma,kuandika na hesabu kwa darasa la saba.
Pia watachagua ambavyo vitakuwa vinafaa kulingana na mitaala iliyopangwa .
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO
-
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO
Siku 2 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni