Baadhi ya wananchi wa jiji la Dar es salaam wameendelea kutoa mani yao kuhusu viongozi mbalimbli wa vyama vya siasa waliojitokeza kuwania nafasi ya Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania.
Hata hivyo wanaabnchi hao wamekumbusha uongozi wa Baba wa Taifa Mwalimu Julias Kambarage Nyerere na kusema kuwa alikuwa kiongozi mwadilifu aliyechukia rushwa,ubinafsi,ukabila,udini na aliwafanya watanzania kuwa wamoja .
Wananchi hao wameendelea kulizungumzia pia suala la kuhama hama chama kama ni uchu wa madaraka kwa baadhi ya viongozi wanataka nafasi za juu katika nchi na wengineo wamesema suala hilo linatokana na viongozi wengi wa chama kukosa uhadilifu.
TUMETIMIZA MATAKWA YA ILANI YA CCM YA KUFIKISHA WATALII MILIONI TANO-DKT
CHANA
-
Na Mwandishi wetu, DSM
Waziri wa Maliasili na Utalii mhe. Balozi Dkt.Pindi Chana (Mb)
amewapongeza watendaji wa wizara hiyo kwa kutimiza malengo ya ilan...
Saa 5 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni