Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dr Donan Mbando amepokea Vifaa tiba vyenye thamani ya dola za Kimarekani laki moja, sawa na takribani shilingi za Kitanzania milioni Mia mbili na tatu kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF Vifaa hivyo vimetolewa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Dar es salaam kwa ajili ya kupunguza vifo vya Watoto takribani elfu moja
KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA AMEPOKEA MSAADA WA VIFAA TIBA MSAADA KUTOKA SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA LA KUHUDUMIA WATOTO UNICEF
-
07:03
0 comments:
Chapisha Maoni