Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam asubuhi wamekamata Wahamiaji haramu wapatao 105 katika eneo la Tabata Segerea Wilaya ya Ilala jijini Dar es salaam baada ya kupata taarifa kutoka kwa wasamaria wema Polisi walizunguka nyumba hiyo tangu alfajiri na hatimaye kutumia utaratibu wa kisheria kuingia Katika nyumba hiyo na kuipokuwa ndipo walipokutwa watu 105 wanaume na iligundulika kwamba wanatoka nchini Ethiopia
WAHAMIAJI HARAMU 105 WAKAMATWA TABATA SEGEREA JIJINI DAR ES SALAAM
-
09:37
0 comments:
Chapisha Maoni