Baada ya vuta nikuvute na kusababisha Machinjio ya Vingunguti kufungwa kwa Mwezi . mmoja hatimaye Mkuu wa Mkoa Dar es salaam Paulo Makonda ameyafungua rasmi kufuatia Mamlaka ya Chakula TFDA kukamilika,.Makonda amewataka Wafanyabiashara kuacha tabia ya kuuza Nyama kiolela na kuwataka kuthamini ubora wa Nyama wanazochinja. Mkuu wa Wilaya ya Ilala Raymond Mushi amesema Machinjio hayo ni ya muda mrefu hivyo kwa sasa Wana Mipango ya kuiboresha zaidi ili iwe ya kisasa na iweze kutoa huduma za Kitaifa na Kimataifa
WAANDISHI WA KIMATAIFA WAKOSHWA NA UZURI WA NGORONGORO
-
Waandishi nguli wa habari za michezo na burudani kutoka sehemu mbalimbali
duniani, walioko nchini Tanzania kwa ziara ya kiutalii na kufuatilia
maandali...
Saa 19 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni