Wananchi Buguruni Malapa wajipanga kukomesha tatizo la Uchafu basi wamehamasishana kuhakikisha suala la Usafi ni la kila mmoja badala ya kuachia Serikali ama chama fulani ili kufanikisha tatizo la Ugonjwa wa Kipindupindu uliopoteza maisha ya wengi Diwani wa Kata ya Ilala Saad Khimji amesema kumekuwepo na tatizo kubwa la baadhi ya Wananchi hususani nyakati za Mvua kufungulia Maji machafu ambayo husambaa katika makazi ya Watu na kusababisha Vinyesi lkutapakaa na kuchangia magonjwa ya milipuko
WAANDISHI WA KIMATAIFA WAKOSHWA NA UZURI WA NGORONGORO
-
Waandishi nguli wa habari za michezo na burudani kutoka sehemu mbalimbali
duniani, walioko nchini Tanzania kwa ziara ya kiutalii na kufuatilia
maandali...
Saa 19 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni