Msanii wa bongo flavor Diamond Platinumz ameendelea kuthibitisha kuwa yeye ndio baba wa mziki wa kizazi kipya kwa sasa baada wa kijana wake kutoka Lebo ya WCB Rayvanny boy(Raymond) kuchukua tuzo kubwa ya kutoka marekani BET ambayo haijawahi kuchukuliwa na Mtanzania yeyote licha Diamond tu kuwa nominated(kuchaguliwa) kuwania tuzo hizo.
Diamond akiongea na Waandishi wa habari amefurahi na kuonyesha kuwa WCB ni kama mwili sauti ikishindwa kuongea basi mkono utashika ndivyo ilivyotokea kwa Rayvanny.
Asante WCB kwa kutufanya watanzania kutambulika kimataifa. Angalia mapokezi ya Rayvanny airport yakiongozwa na Rais wa wasafi Diamond Platinumz a. K. a Simba.
RC NYONGO AAGIZA UPANDAJI MICHE MILIONI MBILI YA KOROSHO PWANI
-
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Stanslaus Haroon Nyongo, amezitaka Halmashauri
zote za Mkoa huo kuhakikisha zinapanda miche ya mikorosho milioni mbili kwa ...
Siku 4 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni