AIRTEL YATOA CHAKULA CHA FUTARI NA IDDI KWA YATIMA DAR Afisa mauzo wa Airtel,  Bw Salehe Safi  akimkabidhi  Bibi  Saada Omary
moja ya zawadi zilizotolewa na kampuni za simu za mkononi  ya Airtel
kwenye kituo cha watoto yatima kinachofahamika kwa jina la Mwana
Orphanage Center kilichopo Vingunguti jijini Dar es salaam.   AIRTEL
ilitoa sukari, mchele, mafuta, sabuni, maziwa na Unga wa ngano
kwaajili ya kumalizia mwezi wa Ramadhani na kusheherekea sikukuu ya
IDDI.


Baadhi ya watoto yatima katika kituo cha Mwana Orphanage kilichopo
maeneo ya Vingunguti jijini Dar es salaam, wakiwa wameshikilia baadhi
ya zawadi walizokabidhiwa na kampuni ya simu za mkoni Airtel Tanzania.
AIRTEL ilitoa sukari, mchele, mafuta, sabuni, maziwa na Unga wa ngano
kwaajili ya kumalizia mwezi wa Ramadhani na kusheherekea sikukuu ya
IDDI.
Share on Google Plus

About GLORIA MATOLA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Chapisha Maoni

Watch the Video Here

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

Google+ Followers

TANGAZO

My Blog List