TAMASHA
kubwa la filamu ambalo ufanyika kila mwaka la European Film Festival
(EFF2013) lipo tayari kwa mwaka huu na litaanza rasmi tarehe 22 November
2013 kwa kuonyeshwa filamu mbalimbali katika vituo vilivyopangwa ambazo
ni Alliance Francaise, Mlimani City Century Cinemax, Goethe-Institut na
Nafasi ArtSpace filamu zitaonyeshwa kwa siku tatu tarehe 22, 23 na 24
November 2013.
Tamasha
la hili limekusudia kuinua tasnia ya filamu ya Tanzania katika
kujifunza utamaduni kutoka Ulaya katika njia ya filamu katika kuimalisha
na kukuza utamaduni wan chi husika hivyo ni njia nzuri kwa watengeneza
filamu wa Swahiliwood kushiriki katika kujifunza zaidi utengenezaji bora
wa filamu.
Filamu
nzuri na za kusismua kama vile Limbo, Kings, Tea or Electricity, The
Great bear na nyinginezo zitaonyeshwa katika kujenga na kutoa nguvu
sambamba na elimu burudani kutoka katika filamu husika, ni tamasha
muhimu sana kushiriki kujionea tasnia kutoka Ulaya ilivyopiga hatua,
KINGILIO NI BURE unaweza kutembelea www.trinitypromotionstz.blogspot.com kwa habari zaidi.
0 comments:
Chapisha Maoni