SEMINA ELEKEZI KWA JAMII YATOLEWA NA KANISA LA SABATO TEMEKE


Dr.Peter Omwanga akitoa semina elekezi kwa jamii juu ya afya jijini Dar es salaam, kanisa la sabato wilaya ya Temeke

Wanakwaya wa kanisa hilo la sabato temeke.

Wanakwaya wa kanisa hilo la sabato temeke.

Wasabato watoa semina elekezi juu ya afya kwa jamii.kuhusiana na maambukizi ya virusi vya ukimwi .Semina hiyo ni ya wiki mbili yenye lengo la kutoa Elimu ya afya juu ya athari za virusi vya ukimwi na Ukimwi.Pia wameshauri wana jamii kuwa waaminifu na wapenzi wao na kushauri matumizi sahii ya kondomu.Amesema jamii isiwanyanyapae watu ambao tayari wameathirika kutokana maakumbikizi na kusema mgonjwa anaweza kuathirika kisaikolojia.hayo ni maneno ya Dr Peter Omwanga wa kanisa la saboto morogoro akiwa jijini Dar es salaam kanisa la temeke sabato
Share on Google Plus

About GLORIA MATOLA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

Watch the Video Here

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

Google+ Followers

TANGAZO

My Blog List