Meneja
Mkuu wa CDS, Juma Uledi akikabidhi cheti cha shukrani kwa mfanyakazi wa
kampuni hiyo, Joseph Kiango, Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni
hiyo, Alhaj Masoud Wannani na Meneja Utawala, Ruth Uledi.
Mkurugenzi
Mtendaji wa kampuni ya CDS, Alhaj Masoud Wannani akikabidhi cheti cha
shukrani kwa mfanyakazi wa kampuni hiyo, Twaha Koga.
Meneja
Mkuu wa kampuni ya CDS, Juma Uledi akikabidhi zawadi ya utambuzi wa
mchango wa kazi kwa Meneja Utawala wa kampuni hiyo, Ruth Uledi. Kushoto
ni Mkurugenzi Mtendaji wa CDS, Alhaj Masoud Wannani.
Meneja
Mkuu wa CDS, Juma Uledi akimkabidhi zawadi ya mfanyakazi bora kwa
Joseph Kiango (kulia) wakati wa sherehe za kutimiza miaka 10 ya kampuni
hiyo, Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa CDS, Alhaj
Masoud Wannani.
Mkurugenzi
Mtendaji wa CDS, Alhaj Masoud Wannani na Meneja Mkuu, Juma Uledi wakiwa
kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa kampuni hiyo waliofanya vizuri
wakati wa sherehe za kutimiza miaka 10 ya kampuni hiyo, Dar es Salaam.
Mke
wa Mkurugenzi Mtendaji wa CDS akikata keki huku Mkurugenzi huyo, Alhaj
Masoud Wannani na Meneja Utawala, Ruth Uledi (kulia) wakishuhudia wakati
wa sherehe za kutimiza miaka 10 ya kampuni hiyo, Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa CDS, Alhaj Masoud Wanani akilishwa keki na mkewe.
Mkurugenzi
Mtendaji wa CDS, Alhaj Masoud Wannani (katikati) akilishwa keki na
Meneja Mkuu, Juma Uledi na Meneja Utawala, Ruth Uledi, wakati wa sherehe
za kutimiza miaka 10 ya kampuni hiyo, Dar es Salaam jana usiku.
Picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi waanzilishi wa kampuni hiyo.
0 comments:
Chapisha Maoni