MIGOGORO YA WAFUGAJI NA WAKULIMA MKOANI TANGA(Kijiji cha Gombero)

Mwenyekiti wa ADC TAIFA ndugu:SAID MIRAJI ABDALLAH

Viongozi wa ADC (Alliance for democratic change)

Naibu Katibu Mkuu Bara-Ndugu:Doyo Hassan Doyo

Wananchi walijitokeza kwa wingi kusikiliza sera za ADC

Viongozi wa ADC (Alliance for democratic change)


Wananchi wakifurahia Chama cha ADC(Alliance for democratic change)

Ndugu Elia Lee MKAZI wa katacha Kibirashi,kijiji cha Gombero aliyetupia lawama Serikali kwa kushindwa kutatua migogoro ipasavyo.

Wakazi wa kijiji cha Gombero,Kata ya Kibirashi wakiangaika na kero ya Maji.
Chama cha ADC(Alliance for democratic change) wakiwa katika kijiji cha Gombero,Kata ya Kibirashi wametoa ahadi ya kutatua migogoro ya wakulima na wafugaji endapo watakubali na kuchagua viongozi wa chama hicho.
Mwenyekiti wa ADC TAIFA amesema endapo watapata uongozi wana mipango bora ya matumizi ya ardhi kugawa maeneo ya wafugaji na wakulima ili kuepusha migogoro inayojitokeza kati ya wakulima na wafugaji.
Chama cha ADC na kauli ya Dira ya Mabadiriko wanalenga kuleta mabadiriko kwa Mtanzania wa kawaida kabisa wa kipato cha chini kwa kushawishi ongezeko za huduma za jamii n upatikanaji kwa nafuuu zaidi.
Pia baadhi ya wakazi wa eneo hilo wametupia lawama kwa viongozi watendaji wa Serikali na kuteuliwa kwa kushindwa kutoa haki katika utatuzi wa migogoro na kusababisha migogoro kuendelea siku hadi siku bila kufikia muafaka.
Naye katibu wa jumuiya ya Wanawake Bi:Mwamvita Mangupili amewataka wanawake wajitokeze kuwania nafasi za uongozi mbalimbali kwa chama hicho ili waweze kutetea haki za wanawake.
Share on Google Plus

About GLORIA MATOLA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Chapisha Maoni
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

Google+ Followers

TANGAZO

My Blog List