MCHUNGAJI CHRISTOPHER MTIKILA AMEJIPANGA KWENDA MAHAKAMANI KUWAFUNGULIA KESI BAADHI YA WAGOMBEA URAIS


Mwenyekiti  wa Chama cha Democrasia DP,Mchungaji  Chritoper Mtikila ameeleza nia yake kuwafikisha Mahakamani Wagombea Urais kwa tiketi ya CCM,Dr John  Magufuli na mgombea kupitia CHADEMA  Edward Lowassa kwa madai ya kuhusika na kashifa mbalimbali za Ufisadi na Rushwa nchini kwa nyakati tofauti
Pamoja na kuwafungulia mashtaka ,Mtikila anasema wagombea hao hawawezi kusimama mbele ya Watanzania na kuomba ridhaa ya kuchaguliwa kuwa Rais kwa kuwa wamepungukiwa sifa za kuwania kiti hicho.
Mchungaji Mtikila aliwahi kufungua kesi za kikatiba ambazo ni pamoja na kutaka Wagombea binafsi kurusiwa katika uchaguzi mkuu na Vyama vya Siasa kuruhusiwa kufanya mikutano bila kuomba kibali kutoka kwa mkuu wa Wilaya na Polisi






Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List