TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI NEC IMEONGEZA SIKU NNE YA KUJIANDIKISHA


Jaji Damian Lubuva Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi NEC akizungumza na wandishi wa habar Dar es salaam
Tume ya Taifa Uchaguzi   NEC  Iimeongeza siku  nne za kujiandikisha katika Daftari la kudumu la wapiga kura kwa Mkoa wa Dar Es Salaam ili kutoa furaa kwa wakazi ambao walikuwa hawajiandikisha kufanya hivyo wajitokeza kwenye maeneo yao wanaishi  wafike katika  vituo hivyo wajiandikishe
Kuongezwa kwa muda huo kunatokana na changamoto zilizojitokeza wakati wa zoezi hilo ikiwa ni pamoja na kuharibika kwa Mashine za kuandikisha na uhaba wa Vifaa hali iliyofanya wengi kutojiandikisha kwa  wakati
Hadi jumatano hii idadi ya Watanzania waliojiandikisha katika Daftari la kudumu la wapiga kura walifikia milioni 18.8 huku mkoa wa Dar Es Salam ukiwa umeandikisha watu milioni 1.7.kati ya wakazi milioni 2.8 waliokadiriwa kuandikishwa.




Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List