WAMACHINGA WAIYOMBA SERIKALI ENEO RASMI LA KUFANYIA BIASHARA

 Wafanya biashara wadogowadogo maarufu kwa jina la Wamachinga wameiyomba Serikali iwapatie eneo rasmi la kufanyia biashara zao ,Wamachinga hao wanaongea Baada ya kuondolewa katika eneo walilopewa eneo la jagwani ,Hali hiyo yakuondolewa Jangwani imewafanya kukosa amani





Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List