Wananchi Kigamboni wanaitaji Elimu na Afya wameyasema hayo wakati Diwani mteule Issa Hemed Zahoro kupitia Chama cha Ccm akiwashukuru wananchi kwa kumchagua

Chama  cha Mapinduzi Ccm Mkoa wa Dar Es Salaam kimewataka wananchi wake kuwapa ushirikiano Madiwani wa Chama hicho waliochaguliwa ili wawatumikie na kuwaletea maendeleo kama walivyowaahidi wakati wa Kampeni,Ccm imesema Madiwani wa Chama hicho wamejipanga kutumikia wananchi wote bila Kujali tofauti zao, lengo ni kubadilisha maisha ya wanachi wanyonge kwa kupata huduma muhimu ikiwepo Elimu, Afya, Maji, Miundombinu ya Barabara na kuboresha tatizo la ajira kwa Vijana             Juma Simba Gaddafi ni Katibu Uenezi na Siasa Mkoa wa Dar es salaam Anasema Madiwani wa Ccm waliochaguliwa watafuata Ilani ya chama hicho Kuwa dira ya kuwatumikia wananchi wote

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List