Mkurugenzi wa Mtandao wa SDM Production Media Gloria Matola ametemberea Kijiji cha Makocho Chalinze Wilaya ya Bagamoyo Mkoa Pwani ameonana na baadhi ya wakulima wadogo wamesema bado ni kitendawili kwao kupata maendeleo kuondokana na hali ya Umaskini kwa kuwa bado wanatumia Jembe la Mkono, awana Mbegu bora pia ulima awatumii mbolea kutokana na ukosefu wa fedha za kununulia Mbolea hali hiyo inachangia kwa wakulima wadogo wadogo kuendelea kuwa Masikini wa Kipato
BALOZI MUSSA AKAGUA MAJENGO YA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MALAWI.
-
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
ambaye pia ni Mwenyekiti wa kamati ya miradi ya Wizara, Balozi Said Shaib ...
Saa 1 iliyopita
0 comments:
Chapisha Maoni