Mamlaka hiyo ya Usafirishaji Abiria na Mizigo hivi sasa wako katika wakati mgumu wa kutowa huduma Kutokana na uchakavu wa Vifaa miundombinu ya Mabehewa na Reli hali hiyo imechangia kuchuka kwa kubeba tan za MIzigo
Hali hiyo imechangia kuchuka kwa Uchumi. Hata hivyo Mazingira ya barabara ya Reli ya Tazara yamekuwa machafu wananchi wamekuwa wakitupa takataka Mwandishi wa Mtandao huu ulitafuta uongozi wa Tazara na kutaka kujua wanamtazamo gani na suala la usafi katika maeneo yao ya Barabara ya Reli. Wamesema kuyumba kwa Uchumi wa Mamlaka hiyo wanashindwa kuajiri Walinzi wa kulinda miundombinu ya Tazara. Wamesema watalifanyia kazi usafi wa Mazingira kwa maeneo yote yenye uchafu kwa kushirikiana na Wananchi pamoja na Wenyeviti wa Serikali za Mitaa kuondowa takataka
KING KIKII KUAGWA LEADERS CLUB
-
Le Maestro Kikumbi Mwanza Mpango (King Kiki) pichani enzi za uhai wake .
*TANZIA*
Mwanamuziki nguli mwenye asili kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo...
Saa 18 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni