Serikali nchini inaweza Kufanikiwa katika maendeleo ya Viwanda mbalimbali na kuboresha maisha ya Jamii kiuchumi kwa kufanya kazi za tafiti ambapo Chuo Kikuu cha Dar es salaam DUCE kinaweza Kusaidia harakati za Serikali kwa kutoa Mafunzo ya Tafiti hizo. Dr Methed Samual Mratibu wa Elimu ya Uzamili na Utafiti akiongea na Mwandishi wa Mtandao huu Sdm Production Media amesema hipo haja ya kupata Wataalam wa ndani nchini wa Tafiti watakao pata elimu ya Tafiti katika Chuo Kikuu cha DUCE Jijini Dar es salaam ili waweze kuboresha maendeleo ya Viwanda Baadhi ya Wahadhiri wa Utafiti kutoka Chuo Kikuu cha Dar es salaam DUCE wakielezea tafiti, zao walizozifanya Dr David Kacholi, Dr Amani Lusekelo, Ms Dorothea Fumpuni. Serikali ya awamu ya Tano ya Rais John Pombe Magufuli imejipanga kuinua uchumi wa taifa kwa kufufua Viwanda vilivyo telekezwa pamoja na kuboresha.
MLOGANZILA YATOA UVIMBE KWENYE MAPAFU KWA KUTUMIA MATUNDU MADOGO
-
Mloganzila yatoa uvimbe kwenye pafu kwa kutumia matundu madogo
Kwa mara ya kwanza wataalam wazawa Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila
wamefanya upa...
Saa 20 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni