Chama cha ADC kimepinga agizo la MSAJILI Wa Vyama vya Siasa la kuitaka bodi ya Wadhamini kutengua uamuzi wa kumsimamisha Mwenyekiti wa chama hicho Said Miradi kwa madai ya kukiuka baadhi ya taratibu za katika. Hasani Mohamed Doyo Naibu Katibu Mkuu wa ADC anatoa wito kwa Mwajili wa Vyama vya Siasa kuhusu taratibu za kuwasilisha malalamiko ya Chama ambapo anadai Msajili huyo amekurupuka katika kutoa agizo hilo
CHAMA CHA ADC KIMETOWA TAMKO KUHUSU AGIZO LA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA KUHUSU MGOGORO ULIPO
 - 
                          
05:40
 
 
 
  
  
  
  
  
  
 
0 comments:
Chapisha Maoni