Mkuu wa Wilaya ya Temeke Sophia Mjema na Viongozi mbalimbali wa Vyama vya Siasa akiwepo Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Temeke Sikunjema Yahya
amewataka Jamii nchini wasiudhalau Mwenge wa Uhuru ndio mkombozi wa Tanzania uliowashwa wakati wa Uhuru wa Mtanzania baada ya kutoka mikononi mwa Wakoloni,uliwashwa na Mwasisi wa Tanzania Hayati Mwalimu Julias Kambarage Nyerere Baba wa Taifa pamoja na kuleta Mungano wa Tanganyika na Zanzibar na kupatikana jina la Tanzania
,
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO
-
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO
Saa 10 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni