,Wananchi, Wazazi, na Viongozi wa Shule ya Msingi Mbande wameamuwa kujenga darasa baada ya kunusulika kuangukiwa na Mti baada ya kukatika wakati wakiwa chini ya Mti huo wakiendelea na Masomo Kutokana na Uhaba wa Madarasa. Ujenzi huo utaghalimu milioni 20 Wananchi hao wameamua kuhamasishana kuchangia pia wamewaomba wadau mbalimbali wa maendeleo wajitokeze kuchangia bado kunaupungufu wa Madarasa, Walimu Uzio wa Shule na Upungufu wa tundu za Vyoo
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO
-
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO
Saa 5 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni