Wananchi Buguruni Malapa wajipanga kukomesha tatizo la Uchafu basi wamehamasishana kuhakikisha suala la Usafi ni la kila mmoja badala ya kuachia Serikali ama chama fulani ili kufanikisha tatizo la Ugonjwa wa Kipindupindu uliopoteza maisha ya wengi Diwani wa Kata ya Ilala Saad Khimji amesema kumekuwepo na tatizo kubwa la baadhi ya Wananchi hususani nyakati za Mvua kufungulia Maji machafu ambayo husambaa katika makazi ya Watu na kusababisha Vinyesi lkutapakaa na kuchangia magonjwa ya milipuko
TUMEWEKEZA NGUVU KUBWA KUTANGAZA VIVUTIO VYA TANZANIA NCHI ZA ULAYA -BALOZI
MNDEME
-
Na Hamis Dambaya
Stockholm
Balozi wa Tanzania nchini Sweden mheshimiwa Swahiba Mndeme amesema miongoni
mwa kazi kubwa waliyonayo katika Ubalozi huo ni...
Saa 6 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni