Sababu za kushindwa kuendelea kwa miradi ya Chama cha Mapinduzi Ccm imetajwa kuwa baadhi ya Viongozi wasio waaminifu ujinufaisha binafsi, vikao vya muda mrefu vinavyokosa uamuzi. Katibu wa CCM Wilaya ya Ilala Kafuge Joel amesema Imani ndani ya chama huenda ikarejea katika mabadiliko ya Uchumi Kutokana na kati ya Utendaji wa Rais wa awamu ya Tano Dk John Pombe Magufuri anayetarajiwa kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Ccm hivi karibuni. Nao baadhi ya Viongozi katika Mkutano huo Mkuu wa Wilaya ya Ilala uliolenga na kujadili maendeleo na changamoto na kuwataka wanachama wa CCM kumaliza tofauti za makundi yanayosababisha kusomeka kwa Chama wakati wa Uchaguzi Mkuu 2015
DC MPOGOLO: JMAT SAIDIENI SERIKALI KUSULUHUSHA MIGOGORO YA ARDHI KWA JAMII
-
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo ameitaka Jumuiya ya Maridhiano na
Amani Tanzania (JMAT)kwenda kushughulikia changamoto za kijamii kuisaidia
Seri...
Saa 9 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni