Serikali imeshauriwa kuanza kuvifuatilia kwa ukaribu na vituo vya Watoto Yatima na vile vya kulelea wanaoishi katika Mazingira magumu kwa madai kuwa msingi ya haki na maadili mema imekuwa ikikiukwa na baadhi ya walezi na wamiliki wa vituo hivyo. Akizumza wakati wa Tamasha la kuchangia watoto wenye mahitaji maalumu wa Shirika lisilo la Kiserikali la WDF, Baba Askofu Nabii Paulo Bendera wa Kanisa la Ufunuo Tanzania amesema baadhi ya vituo vinavyokusanya watoto hao kwa manufaa binafsi ametoa wito kwa Viongozi wa dini, wadau mbalimbali na Serikali kujenga tabia ya kusaidia watoto hao wanaoishi katika Mazingira magumu na Yatima ili nao waweze kuwa na maisha bora ya kumpendeza Mungu
KING KIKII KUAGWA LEADERS CLUB
-
Le Maestro Kikumbi Mwanza Mpango (King Kiki) pichani enzi za uhai wake .
*TANZIA*
Mwanamuziki nguli mwenye asili kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo...
Saa 14 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni