KAMPUNI YA YONO ACTION MART LTD TANZANIA YAPATA TUZO YA KIMATAIFA

Tuzo ya ufanyaji Kazi kwa Ubora. Ufanisi maadiri mema ya Utumishi wa Umma. Mwenyekiti wa Bodi Yono action mart Staniley Kevela amesema Yono ni Wakala wa TRA wa Ukusanyaji wa Kodi kazi hiyo wamepewa na Serikali sasa Wana miezi nane wamekusanya Bilion 20 kutoka kwa wafanyabiashara mbalimbali nchini. Ambapo Kodena 329 zilikamatwa Bandarini nazo wamekusanya Bilion 18 lengo nazo zifike Bilion 20. Kevela amesema Tuzo hizo kwa Kampuni ya Yono wamepewa kwa kazi ya Ukusanyaji wa Kodi wamefanya kwa uwadilifu  jumla nchi 29 zitashiriki kupewa Tuzo hizo kwa nchi, za Afrika ni Tanzania ikiwakilishwa na Kampuni ya Yono tar 24 hadi 25 Juray mwaka huu

Share on Google Plus

About GLORIA MATOLA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Chapisha Maoni

Watch the Video Here

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

Google+ Followers

TANGAZO

My Blog List