MTUMISHI WA MUNGU BABA ASKOFU NABII PAULO BENDELA AKIWA KATIKA ZOEZI LA UTOAJI HUDUMA

Baba Askofu Mkuu Nabii Paulo Bendera wa Kanisa la Ufunuo akitowa huduma ya Utumishi Wa Mungu kwa Watu wenye Shida Mbalimbali huduma hiyo Akitowa katika Kanisa la Ufunuo Kimara lililopo jijini  Dar es salaam. Baba Nabii Bendera amewataka Jamii nchini  pamoja na Walezi watumie muda mwingi kukaa na Watoto wao waweze kuwafunza neno la Mungu ili waweze kuwa na maadiri mema ya kumpendeza mwenyezi Mungu matatizo ya utumiaji wa dawa za kulevya. bangi. Ushoga. Usagaji pamoja na ngono zembe kukataza taifa liwe na Vijana Imara wenye hofu ya Mungu

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List