Mwenyekiti wa Kampuni ya Yono Action Mart LTD Tanzania Staniley Kevela pamoja na Mkurugenzi wa Kampuni hiyo BI Scholastica Kevela na Bint yao wamewasili kutoka Itary na Tuzo waliyopata ya Kimataifa ya Ufanyaji bora wa Kazi kwa ufanisi na Maadiri mema ya Utumishi wa Umma.
Kevela amesema haikuwa rais Kupata Tuzo hizo kwa sababu wamezingatia vigezo vingi.Jumla ya nchi 29 zilishiriki katika kinyanganyiro hicho cha Tuzo za Kimataifa. Kevela amesema ni heshima kubwa kwa Tanzania iliyopata kuleta tuzo hiyo nchini na kupeperusha Bendera ya Tanzania.
Kevela amesema ataendelea kufanya kazi za Ukusanyaji Kodi kwa uwadilifu wakiwa Wakalawa TRA huku wakimuunga mkono Rais wa awamu ya Tano John Pombe Magufuli kwa jitihada zake za kukusanya Kodi
0 comments:
Chapisha Maoni