CHALINZE MGOGORO WA ARDHI

Wananchi wa Kijiji cha Rupungwi KWA makocho Jimbo la Chalinze Wilayani Bagamoyo Mkoa wa Pwani wameiomba Serikali iwasaidie katika Kurudishiwa ardhi ya Kijiji inayodaiwa kuuzwa na baadhi ya Viongozi wasio waaminifu. Wanakijiji hao wamedai hawakubali kuchukuliwa eneo lililotengwa kwa ajili ya matumizi yao ya Kilimo na kuruhusu Mtu mmoja kumilikishwa zaidi ya heka mia moja na tano 
. Mwenyekiti wa Kijiji hicho Juma Hosseni amekiri kutokea kwa Mgogoro huo wa ardhi  na kuwa akushirikishwa kwa kuuzwa nakuwa umeuzwa Kinyemela na kukiri kuuziwa mtoto wa Kigogo mmoja nchini. Mtendaji wa Kata ya Mandela Endelu Philip anayelalamikiwa na wanakijiji kuuza kwa eneo hilo amekanusha ajashiri kuuza eneo hilo, na kuwataka wanakijiji wawe na subira anaufanyia kazi mgogoro huo bado yupo kuufanyia kazi

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List