USAFI WA MAZINGIRA KIGAMBONI

Imeelezwa kukosekana kwa Vifaa vya kuhifadhia taka kwenye Soko la Feri na maeneo jirani kumesababisha kuongezeka kwa Uchafu wa Mazingira pamoja kuhatarisha Usalama wa afya kwa walaji wa Samaki. Mbunge wa Kigamboni Faustine Ndungulile amesema wametenga eneo la kuhifadhia taka ili kuzuia milipuko wa magonjwa mbalimbali. Naye Mkuru wa Wilaya ya Kigamboni Hashimu Mgandiwana amewataka Wananchi wawe na utaratibu mzuri wa kuyatunza Mazingira

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List