VIBANDA VYA POLISI

Jeshi la Polisi Wilaya ya Temeke jijini Dar es salaam wamekabidhiwa Vibanda vitakavyowasaidia kujikinga na Jua na Mvua wanapokuwa kazini na kupunguza matukio ya kunyanganywa Silaha na matukio mbalimbali. Kamishina Msaidizi Mwanandamizi na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke Gilles Muroto amepokea Vibanda 20 kutoka Kiwanda cha Mabati Dragon kilichopo  mjini Dar es salaam amesema Askari Polisi watafanya kazi zao kwa uwadilifu Meneja wa Masoko Kiwanda cha Mabati ya Dragon Andrew Sun wametowa msaada huo wanatambua kazi ngumu wanayofanya Askari Polisi wanapokuwa kazini

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List