MADIWANI WA MANISPAA YA TEMEKE WAKAGUWA MIRADI YA MAENDELEO

Madiwani wa Manispaa ya Temeke Jijini Dar es salaam wamelazimika kukataa Mradi wa Ujenzi wa Matundu ya Vyoo katika Shule ya Sekondari Minazini Kigamboni huko chini ya Kiwango. mradi huo uliogharimu milioni 36 kutoka Benk ya Dunia. Madiwani hao wakiongea na Mwandishi wa Mtandao huu wamesema haulingani na kiasi cha fedha zilizotolewa  huku wakimtaka Mkandarasi huyo arudie kwa gharama zake. Hata hivyo wameunyoshea Kidogo mradi wa Ujenzi wa Zahanati  wa Mbagala unamuda mrefu bado ujakamilika hata mikataba ya kukamilika kwa wakati gani pamoja na gharama Za Mradi wameziitaji zipelekwe wakati wa baraza la Madiwani. Miradi ya Ujenzi wa shule kwenye Manispaa hiyo ya Temeke wamezikubali zipo katika Kiwango kinachotakiwa

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List