TATIZO LA GARI LA KUBEBA WAGONJWA WILAYA YA TEMEKE

Tatizo la ukosefu wa Gari la kubebea Wagonjwa katika Zahanati ya Kimbiji iliyopo Kigamboni Jijini Dar es salaam, imetajwa Kuwa ni chanzo cha baadhi ya kina mama Wajawazito wakijifungua huku wakiwa katika hatari ya kupoteza maisha yao pamoja na Watoto, Wakati wa kupewa rufaa ya kwenda katika Hospitali ya Wilaya na kukutana na changamoto ya kutakuwepo kwa gari la kubeba wagonjwa na wakati mwingine vifo utokea. Hayo yamebainishwa katika kikao cha baraza la Madiwani wa  Halmashauri ya Temeke Jijini Dar es salaam

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List