WAMACHINGA WATENGEWA MAENEO RASMI YA KUFANYIA BIASHARA

Wafanyabiashara ndogo ndogo Maalufu kwa jina la Wamachinga eneo la Kariakoo Jijini Dar es salaam wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli kwa uamuzi wake wa kuwatengea maeneo ya kufanyiya biashara zao mjini kwa utaratibu maalum. Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema amefanya ziara ya kutembelea maeneo yaliyotengwa mtaa Nyamwezi, Uswahili, Sikuu na Kongo ziara hiyo alifatana na Viongozi mbalimbali pamoja na Wamachinga Wafanyabiashara

Share on Google Plus

About GLORIA MATOLA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Chapisha Maoni

Watch the Video Here

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

Google+ Followers

TANGAZO

My Blog List