CHAMA CHA MAPINDUZI CCM WASEMA MAENDELEO YAPO TANZANIA

Imeelezwa kuwa kumekuwepo kwa usambazaji wa taarifa za upotoshaji zinazolewa na baadhi ya wanasiasa wakishirikiana na baadhi ya vyombo vya habari kukejeri na kudhihaki jitihada zinazofanywa na Chama cha Mapinduzi na Serikali katika kuleta maendeleo ya Watanzania. Hayo yamesemwa na msemaji wa Chama cha Mapinduzi Ccm Christopher Ole Sendeka akidai kuwa kumekuwepo na Makala ya Magazeti mawili ya nje na ndani ya nchi ambayo yamekuwa yakiandika habari zisizp, za ukweli kuhusu Tanzania
.Ameeleza kuwa Rais John Pombe Magufuli anaendelea kufanya juhudi kubwa katika kujenga nchi kwa kuimarisha maadili  ya utumishi wa Umma, huku akitaka jamii kupuza maneno hayo ya upotoshaji ,bali wamuunge mkono Rais Magufuli

Share on Google Plus

About GLORIA MATOLA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Chapisha Maoni

Watch the Video Here

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

Google+ Followers

TANGAZO

My Blog List