DAWA BANDIA

Mamlaka ya Chakula na Dawa TFDA imekamata dawa muhimu ,dawa za mifugo na Vipodozi vyenye thamani ya shilingi miluoni kumi na saba katika Operesheni iliyofanyika na Mamlaka hiyo katika mikoa ya Kanda ya Ziwa na Nyanda
za juu Kusini
Mkurugenzi mkuu Mamlaka ya Chakula na dawa  Hiiti  Silio amebainisha kuwepo aina tano za dawa zulizobainika ,huku zikiwa katika Makundi mawili, sanjari na kufafanua tofauti ya dawa bandia na dawa halisi
Utafiti huo ulifanyika Oktoba 4 hadi 6 mwaka huu ambapo wadau mbalimbali na wananchi  wametakiwa kushirikiana na Mamlaka ya Chakula na dawa pale wanapobaini uwepo wa dawa na Vipodozi bandia kwa manufaa ya Jamii na taifa

Share on Google Plus

About GLORIA MATOLA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Chapisha Maoni

Watch the Video Here

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

Google+ Followers

TANGAZO

My Blog List