Serikali imesitisha zoezi la uchapaji chapa wanyama baada ya kubaini wafugaji ambao ndio wadau hawana uelewa na zoezi hilo.Hivyo wamepanga kukutana na Wadau wote wa ufugaji na kutoa elimu juu ya zoezi hilo ili watambue faida ya uchapaji chapa.
TUFANIKISHE PAMOJA YAWAKUMBUKA WATOTO YATIMA TEMEKE
-
Kikundi cha Kijamii cha TUFANIKISHE PAMOJA kimeungana na Uongozi wa Kituo
Cha Kulelea Watoto yatima na wenye uhitaji cha Valentine Home Centre
kilichopo...
Saa 20 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni