Picha nne za Rais Magufuli kwenye ibada ya Christmas Dar es salaam

Jana December 25 2015 ilikuwa siku ambayo wakristo sehemu mbalimbali Duniani waliungana kusherehekea sikukuu ya Christmas… lakini haikuwa sherehe tu ya kukaa nyumbani na kusherehekea, ilikuwa siku ya kukutana kwenye nyumba za ibada kwa ajili ya kusali na kumshukuru MUNGU.
Rais John Magufuli aliongozana pia na Mama Janeth Magufuli kwenda kanisa la
St. Peters , Oysterbay Dar es Salaam kwa ajili ya ibada.Picha zao  na nukuu ya alichokisema ibadani.
Kwenye ripoti toka Ikulu kuna nukuu ya hiki alichokiomgea Rais Magufuli akiwa kanisani jana >>> ‘ Ndugu waumini wenzangu, mimi ni yuleyule, nipo vilevile na nimekuja hapa kama Mkristo wa kawaida, muendelee kuliombea taifa hili na mtuombee pia sisi viongozi wake ‘- Rais
Magufuli.

Share on Google Plus

About GLORIA MATOLA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Chapisha Maoni

Watch the Video Here

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

Google+ Followers

TANGAZO

My Blog List