MPENZI WA DIAMOND, ZARI THE BOSS LADY AJIFUNGUA MTOTO WA KIUME

Mpenzi wa mwanamuziki Naseeb Abdul, maarufu Diamond Platnumz, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ Desemba 6 amejifungua mtoto wa kiume katika hospitali ya Netcare Pretoria Afrika Kusini. Wazazi hao bado hawajaamua jina la kumuita mtoto huyo.
Kupitia ukurasa wake wa Instgram, Diamond Platnumz amendika maneno haya;
06th Dec 2016 03: 35am SA time…… 04: 35am EAST Time…. 02: 35am WEST Time…. 01: 35 am NORTH Time, A NEW STAR WAS BORN in NETCARE HOSPITAL / PRETORIA / SOUTH AFRICA…. unfortunately his parents Dad & Mom haven’t agreed on the name…. that’s why it even took time, to his advent to be on his parent’s Social media Pages….. Let’s wait and See, what @zarithebosslady &
@Diamondplatnumz will ended up call him…
(Tareh 6/ 12/ 2016 saa kumi na dakika 35 Staa Mpya wa akiume alizaliwa katika hospitali ya NETCARE iliyopo mjini Pretoria / South Africa… kutokana na wazazi wake kutofikiana Muafaka wa mtoto aitwe jina gani, ilipelekea mtoto huyo kuchelewa kupostiwa kwenye Mitandao ya kijamii ya Wazazi wake…. tusubiri tuone @zarithebosslady na@DiamondPlatnumz wataishia kumpa jina gani Mtoto wao… )
06TH DEC 2016 03: 35AM SA TIME…… 04: 35AM EAST TIME…. 02: 35AM WEST TIME…. 01: 35 AM NORTH TIME, A NEW STAR WAS BORN IN NETCARE HOSPITAL / PRETORIA / SOUTH AFRICA…. UNFORTUNATELY HIS PARENTS DAD & MOM HAVEN’T AGREED ON THE NAME…. THAT’S WHY IT EVEN TOOK TIME, TO HIS ADVENT TO BE ON HIS PARENT’S SOCIAL MEDIA PAGES….. LET’S WAIT AND SEE, WHAT @ZARITHEBOSSLADY & @DIAMONDPLATNUMZ WILL ENDED UP CALL HIM… (TAREH 6/ 12/ 2016 SAA KUMI NA DAKIKA 35 STAA MPYA WA AKIUME ALIZALIWA KATIKA HOSPITALI YA NETCARE ILIYOPO MJINI PRETORIA / SOUTH AFRICA… KUTOKANA NA WAZAZI WAKE KUTOFIKIANA MUAFAKA WA MTOTO AITWE JINA GANI, ILIPELEKEA MTOTO HUYO KUCHELEWA KUPOSTIWA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII YA WAZAZI WAKE…. TUSUBIRI TUONE @ZARITHEBOSSLADY NA @DIAMONDPLATNUMZ WATAISHIA KUMPA JINA GANI MTOTO WAO… )
A PHOTO POSTED BY CHIBU DANGOTE
Diamond Platnumz na mama yake walisafiri jana kwenda nchini Afrika Kusini kwa ajili ya kumpeleka Zari hospitali.
NA MAMA CHIBU D CHIBU DE … FLYING TO OUR NEW SECOND HOME, SOUTH AFRICA FOR MY NEW BORN… #MINIME #CHIBUJUNIOR #YOUNGSIMBA #YOUNGLION UNGEPENDA NIMPE JINA GANI ETI?
A PHOTO POSTED BY CHIBU DANGOTE (@DIAMONDPLATNUMZ) ON
DEC 4, 2016 AT 6:55PM PST
Comments
06th Dec 2016 03: 35am SA time...... 04 35am EAST Time.... 02: 35am WEST Time.... 01: 35 am NORTH Time, A NEW STAR WAS BORN in NETCARE HOSPITAL / PRETORIA / SOUTH AFRICA.... unfortunately his parents Dad & Mom haven't agreed on the name.... that's why it even took time, to his advent to be on his parent's Social media Pages..... Let's wait and See, what @zarithebosslady &
@Diamondplatnumz will ended up call him... (Tareh 6/ 12/ 2016 saa kumi na dakika 35 Staa Mpya wa akiume alizaliwa katika hospitali ya NETCARE iliyopo mjini Pretoria / South Africa... kutokana na wazazi wake kutofikiana Muafaka wa mtoto aitwe jina gani, ilipelekea mtoto huyo kuchelewa kupostiwa kwenye Mitandao ya kijamii ya Wazazi wake.... tusubiri tuone
@zarithebosslady na
@DiamondPlatnumz wataishia kumpa jina gani Mtoto wao...✍ )
diamond... •

Share on Google Plus

About GLORIA MATOLA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Chapisha Maoni

Watch the Video Here

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

Google+ Followers

TANGAZO

My Blog List