MHE RAIS MSTAAFU JAKAYA MRISHO KIKWETE AMEFUNGA MWAKA KWA KUFURAHI NA WANAKIJIJI WA MSOGA.

Mhe Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete amemaliza mwaka kwa kuwa karibu,kula na kunywa na wanakijiji wenzake wa msoga Jimbo la chalinze.
Katika mkesha huo uliokuwa na watu wengi ili kuukaribisha mwaka mpya  Mhe Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete  aliweza kubadilishana mawazo na watu mbalimbali na alisema anajisikia raha sana kutumia mda mwingi kuongelea kilimo,Ufugaji na shughuli za kila siku sababu ni Kazi zake ambazo anafanya baada ya kumaliza mda wake wa uongozi.
Kwa niaba ya Mkurugenzi wa SDM production media tunatoa shukrani za dhati kwa mwiliko huo ulitolewa na Rais mstafu wa awamu ya nne mhe rais  jakaya mrisho kikwete nyumbani kwake kijiji cha msoga jimbo la chalinze wilaya ya bagamoyo mkoa wa pwani.
Pia waliudhuria wananchi mbalimbali,viongozi na wasanii ambapo ngoma mbalimbali za kikwele na vanga zilipiga hadi asubuhi. wandishi hao wamemshukuru mhe kikwete na wamempongeza kutoa mwaliko kwa watu mbalimbali bila kuangalia wazifa wa mtu wala itikadi ya chama na kushirikiana na watu wanyonge kusherekea pamoja mwaka Mpya.

Share on Google Plus

About GLORIA MATOLA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Chapisha Maoni

Watch the Video Here

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

Google+ Followers

TANGAZO

My Blog List