BADILI MAISHA FONDATION TUMEFUNGUNA SOBBER HOUSE TUNATOA HUDUMA KWA WAATHIRIKA WA DAWA ZA KULEVYA(DAWA ZA KULEVYA AINA YA UNGA,IRON,KOKEN,BANGI,BOMBE,MIRUNGI NA N.K.).
LENGO NI KUFANYA
WAACHE KUTUMIA NA KURUDI KATIKA HALI YA UTIMAMU WA AKILI(KUJITAMBUA) NA MWILI.
TUNAPATIKANA:
MBEYA
KATA YA ITEZI
MAENEO YA UYOLE STATION,
KARIBU KABISA NA SHULE YA ST JULIAS NASSARY SCHOOL.
AU
KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA NO 0783488329 0788681989 0712947856
KITUO KIMESAJILIWA KWA NO 0009064
MAISHA BILA MADAWA INAWEZEKANA
0 comments:
Chapisha Maoni