Friends of Children with Cancer Tanzania wameendesha zoezi la upimaji afya kwa watoto bure


Walter Miya(founder and president, Friends of Children with Cancer Tanzania organization). Amesema wananchi wenye afya njema ndo chachu ya kuleta maendeleo ya uchumi na kijamii. Amesema maisha ya binadamu bira afya nzuri huzolotesha uzalishaji na kufanya kushuka kwa uchumi . Hata hivyo ametowa wito kwa watanzania kubadilika wawe na tamaduni za kupima afya mara kwa mara tangu watoto wadogo wasisubili kupata malazi .pia ameshukuru baadhi ya mashirika waliojitokeza kusaidia baadhi  maandalizi ya zoezi hili pamoja na chama cha madktari nchini wakiwepo madaktari bingwa wa watoto. baadhi ya wazazi wamefurahia  huduma hiyo na kuomba ziongezwe siku kwa sababu siku moja haitoshi, watoto ni wengi na wanahitaji kuangalia afya. Pia wameiomba serikali washirikiane na taasisi hiyo ambayo kwa kwa muda mrefu  imekuwa ikijitolea kutoa huduma za afya kwa watoto bure. pamoja awana uwezo mkubwa wa kidha bali wa taalam wake wamekuwa wakiguswa na shida za watoto huku wazazi wao awanauzo wa kiuchumi.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List