Chama cha adc wamefanya mkutano wa kutathimini maendeleo na changamoto katika kipindi hiki cha miaka mitano ya chama hicho.Pia wamejipanga kuwapa maendeleo wananchi kwa kuwapa mikopo isiyokuwa na riba lengo ni kuinua uchumi kwa jamii walio maskini.Wakiongea na mwandishi wa blog wamesema wanamuunga mkono mhe rais wa awamu ya tano na wako bega kwa bega kuhakikisha wanamsaidia katika malengo yake ya kuongeza viwanda na kusimamia viweze kuwaletea maendeleo kwa Watazania.Hayo amesema kiongozi wa chama hicho . akimalizia amesema watahakikisha wakulima wa karafuu visiwani zanzibar wanapata maendeleo na kunufaika na zao hilo.
KURUI Vs KISARAWE WAKIPIGA MZENGA
-
*Mzenga,Kisarawe*
Timu za soka Kata ya Kisarawe na Kurui jana tarehe 17 Januari 2025
zimetoka sare ya goli moja moja ikiwa ni katika hatua ya kuwania ...
Dakika 24 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni