Uongozi wa Sdm production media unatoa pole kwa watu wote walioguswa na Msiba wa mke wa Waziri Mwakyembe kwa kufiwa na mke wake Linah Mwakyembe. Hivyo tunaungana na watanzania wote katika kutoa faraja kwa Mheshimiwa Waziri na Viongozi wote.
MWENGE WA UHURU WAWAVUTIA WATALII NGORONGORO
-
Na Mwandishi wetu Ngorongoro.
Baadhi ya watalii waliokuwa katika safari zao za kawaida kwenye eneo la
hifadhi ya Ngorongoro leo jumatano tarehe 9 Julai...
Saa 8 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni