Eneka ni moja kati ya nyimbo ambazo Diamond ameziachia kwa kushtukiza na mapokezi yake yameonekana kuwa makubwa tofauti na alivyotarajia. Miongoni mwa walioonekana kuikubali ngoma hiyo ni Yemi Alade.
Kitendo cha Diamond kutumia baadhi ya maneno ya lugha ya nchini Nigeria ndio kimeonekana kumfanya Yemi kuupenda zaidi wimbo huo.
Muimbaji huyo kutoka huko Nigeria, ameshindwa kuzuia hisia zake kwa wimbo huo baada ya kucomment kwenye moja ya video ambayo Diamond ameiweka kwenye mtandao wa Instagram. “Omg !you are singing in IGBO 💃💃 @diamondplatnumz,” ameandika Yemi Alade.
KURUI Vs KISARAWE WAKIPIGA MZENGA
-
*Mzenga,Kisarawe*
Timu za soka Kata ya Kisarawe na Kurui jana tarehe 17 Januari 2025
zimetoka sare ya goli moja moja ikiwa ni katika hatua ya kuwania ...
Siku 1 iliyopita
0 comments:
Chapisha Maoni