MWENYEKITI WA UWT MKOA WA DAR ES SALAAM JANET MASABURI AMEWATAKA AKINA MAMA KUTOKATA TAMAA NA KUWA WAJASIRIAMALI .

Wajasiriamali  wametakiwa kuungana na kuanzisha viwanda vidogo vidogo vya kusindika  mboga za majani pamoja na matunda ili kuondokana na hali ya  umasikini ikiwa ni njia mojawapo ya kuunga mkono juhudi za rais magufuli ya kuwa Tanzania ya viwanda.
Hayo amesema hivi karibuni mwenyekiti wa uwt mkoa wa dar es salaam Janet Masaburi,amewataka akina mama kuacha tamaa kwa kuingia kwenye mikopo mingi ambayo imekuwa ikiwafanya  kushindwa kulipa na kuwa na madeni makubwa.

Siku hiyo Mhe Janet Nasaburi alifanya ufunguzi wa kikundi cha harakati group kilichopo mbezi kikundi hicho walianza na idadi ya wanachama 30 na hivi sasa wapo wapo 21 wakiwa na makusanyo ya kiasi cha milioni 41 na laki saba na tayari wameanza kukopeshana.  
mwisho

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List